Numbers 18:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na tangu sasa, watu wengine wa Israeli wasilikaribie hema la mkutano wasije wakatenda dhambi na kujiletea kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia sasa, kamwe Waisraeli wasisogelee karibu na Hema la Kukutania, la sivyo watabeba matokeo ya dhambi zao, nao watakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanzo wa sasa wana wa Israeli wasikaribie hema ya kukutania, wasije wakachukua dhambi, nao wakafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na tangu sasa, watu wengine wa Israeli wasilikaribie hema la mkutano wasije wakatenda dhambi na kujiletea kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia sasa, kamwe Waisraeli wasisogelee karibu na Hema la Kukutania, la sivyo watabeba matokeo ya dhambi zao, nao watakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia sasa, kamwe Waisraeli wasisogelee karibu na Hema la Kukutania, la sivyo watabeba matokeo ya dhambi zao, nao watakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tangu sasa wana wa Israeli wasikaribie hema ya kukutania, wasije wakachukua dhambi, nao wakafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na tangu sasa, watu wengine wa Israeli wasilikaribie hema la mkutano wasije wakatenda dhambi na kujiletea kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tangu sasa wana wa Isiraeli wasilifikie tena Hema la Mkutano karibu, wasijikoseshe, wakajipatia kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanzo wa sasa wana wa Israeli wasikaribie hema ya kukutania, wasije wakachukua dhambi, nao wakafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na tangu sasa, watu wengine wa Israeli wasikaribie hema la mukutano kusudi wasitende zambi na kujiletea kifo.