Numbers 18:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu zaka wanazonitolea Waisraeli nimewapa kuwa urithi wao. Ndio maana nimesema kwamba wao hawatakuwa na urithi kati ya Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, ninawapa Walawi zaka zote zinazotolewa na Waisraeli kama sadaka kwa Mwenyezi Mungu kuwa urithi wao. Hiyo ndiyo sababu nimesema hivi kuwahusu: ‘Hawatakuwa na urithi miongoni mwa Waisraeli.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa zaka ya wana wa Israeli, waisongezayo kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana, nimewapa Walawi kuwa urithi wao; kwa hiyo nimewaambia, ya kwamba, katika wana wa Israeli hawatakuwa na urithi uwao wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu zaka wanazonitolea Waisraeli nimewapa kuwa urithi wao. Ndio maana nimesema kwamba wao hawatakuwa na urithi kati ya Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, ninawapa Walawi zaka zote zinazotolewa na Waisraeli kama sadaka kwa BWANA kuwa urithi wao. Hiyo ndiyo sababu nimesema hivi kuhusu wao: ‘Hawatakuwa na urithi miongoni mwa Waisraeli.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, ninawapa Walawi zaka zote zinazotolewa na Waisraeli kama sadaka kwa bwana kuwa urithi wao. Hiyo ndiyo sababu nimesema hivi kuhusu wao: ‘Hawatakuwa na urithi miongoni mwa Waisraeli.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa zaka ya wana wa Israeli, waisongezayo kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA, nimewapa Walawi kuwa urithi wao; kwa hiyo nimewaambia, ya kwamba, katika wana wa Israeli hawatakuwa na urithi wowote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu zaka wanazonitolea Waisraeli nimewapa kuwa urithi wao. Ndio maana nimesema kwamba wao hawatakuwa na urithi kati ya Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninawapa Walawi mafungu ya kumi, wana wa Isiraeli watakayoyatoa kuwa vipaji vya tambiko vya kumnyanyulia Bwana; haya ninawapa Walawi kuwa fungu lao, kwa hiyo ninawaambia: Hamtapata fungu la nchi kuwa lenu katikati ya wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa zaka ya wana wa Israeli, waisongezayo kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA, nimewapa Walawi kuwa urithi wao; kwa hiyo nimewaambia, ya kwamba, katika wana wa Israeli hawatakuwa na urithi uwao wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu sehemu ya kumi Waisraeli wanayonitolea nimewapa kuwa urizi wao. Ndiyo maana nimesema kwamba wao hawatakuwa na urizi kati ya Waisraeli.