Numbers 18:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka hii yenu itakubaliwa kuwa kama malimbuko ya nafaka au kama zabibu anazonitolea mkulima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sadaka yenu itahesabiwa kwenu kama nafaka kutoka sakafu ya kupuria, au divai kutoka shinikizo la kukamulia zabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sadaka yenu ya kuinuliwa itahesabiwa kwenu, kama ndiyo nafaka ya sakafu ya kupuria, na kama kujaa kwake kinu cha kushindikia zabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka hii yenu itakubaliwa kuwa kama malimbuko ya nafaka au kama zabibu anazonitolea mkulima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sadaka yenu itahesabiwa kwenu kama nafaka kutoka katika sakafu ya kupuria, au divai kutoka kwenye shinikizo la kukamulia zabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sadaka yenu itahesabiwa kwenu kama nafaka kutoka sakafu ya kupuria, au divai kutoka kwenye shinikizo la kukamulia zabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sadaka yenu ya kuinuliwa itahesabiwa kwenu, kama ndiyo nafaka ya sakafu ya kupuria, na kama kujaa kwake kinu cha kusindikia zabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka hii yenu itakubaliwa kuwa kama malimbuko ya nafaka au kama zabibu anazonitolea mkulima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo hivyo vpaji vyenu vya tambiko vitawaziwa kuwa ngano zenu za mapurio yenu au mafuriko ya makamulio yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sadaka yenu ya kuinuliwa itahesabiwa kwenu, kama ndiyo nafaka ya sakafu ya kupuria, na kama kujaa kwake kinu cha kushindikia zabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka hii yenu itakubaliwa kuwa kama malimbuko ya ngano au kama zabibu mulimaji anazonitolea.