Numbers 18:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na matoleo yote mtakayopokea, mtamtolea Mwenyezi-Mungu zaka ya sehemu iliyo bora kuliko zote na takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima mtoe kama sehemu ya Mwenyezi Mungu iliyo nzuri sana tena ile sehemu iliyo takatifu sana kuliko zote ya kile kitu mlichopewa.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika vipawa vyenu vyote mtasongeza kila sadaka ya kuinuliwa ya Bwana, ya wema wake wote, hiyo sehemu yake iliyowekwa takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na matoleo yote mtakayopokea, mtamtolea Mwenyezi-Mungu zaka ya sehemu iliyo bora kuliko zote na takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima mtoe kama sehemu ya BWANA iliyo nzuri sana tena ile sehemu iliyo takatifu sana kuliko zote ya kile kitu mlichopewa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima mtoe kama sehemu ya bwana iliyo nzuri sana tena ile sehemu iliyo takatifu sana kuliko zote ya kile kitu mlichopewa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika vipawa vyenu vyote mtasongeza kila sadaka ya kuinuliwa ya BWANA, ya wema wake wote, hiyo sehemu yake iliyowekwa takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na matoleo yote mtakayopokea, mtamtolea Mwenyezi-Mungu zaka ya sehemu iliyo bora kuliko zote na takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika vipaji vyote, mtakavyopewa, sharti mtoe vipaji vya tambiko vyote viwapasavyo kuvitoa vya kumnyanyulia Bwana, nanyi sharti mtoe vile vitakavyokuwa vizuri zaidi vinavyopasa kutolewa humo kuwa vipaji vitakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika vipawa vyenu vyote mtasongeza kila sadaka ya kuinuliwa ya BWANA, ya wema wake wote, hiyo sehemu yake iliyowekwa takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na matoleo yote mutakayopokea, mutamutolea Yawe sehemu inayokuwa bora kuliko zote na takatifu.