Numbers 18:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtakula kilichotolewa mkiwa mahali popote pale pamoja na jamaa zenu maana ni ujira wenu kwa sababu ya huduma yenu katika hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi na watu wa nyumbani mwenu mnaweza kula sehemu iliyobaki mahali popote, kwani ndio ujira wenu kwa ajili ya kazi yenu katika Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtakula hayo kila mahali, ninyi na watu wa nyumbani mwenu; kwa kuwa ni thawabu yenu badala ya utumishi wenu katika hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtakula kilichotolewa mkiwa mahali popote pale pamoja na jamaa zenu maana ni ujira wenu kwa sababu ya huduma yenu katika hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi na watu wa nyumbani mwenu mnaweza kula sehemu iliyobaki mahali po pote, kwani ndio ujira wenu kwa ajili ya kazi yenu katika Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi na watu wa nyumbani mwenu mnaweza kula sehemu iliyobaki mahali popote, kwani ndio ujira wenu kwa ajili ya kazi yenu katika Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtakula hayo kila mahali, ninyi na watu wa nyumbani mwenu; kwa kuwa ni thawabu yenu badala ya utumishi wenu katika hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtakula kilichotolewa mkiwa mahali popote pale pamoja na jamaa zenu maana ni ujira wenu kwa sababu ya huduma yenu katika hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi na mvile mahali po pote ninyi nao walio wa milango yenu, kwani ni mishahara yenu ya utumishi wenu wa Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtakula hayo kila mahali, ninyi na watu wa nyumbani mwenu; kwa kuwa ni thawabu yenu badala ya utumishi wenu katika hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mutakula kilichotolewa mukiwa pahali popote pamoja na jamaa zenu maana ni mushahara wenu kwa sababu ya kazi yenu katika hema la mukutano.