Numbers 18:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao watajiunga nawe kazini na kutimiza wajibu wao kikamilifu kuhusu huduma zote za hema, na wala pasiwe na mtu mwingine atakayekukaribia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watajiunga nanyi na watawajibika kwa utunzaji wa Hema la Kukutania, yaani kazi zote kwenye Hema, wala hakuna mtu mwingine yeyote atakayeweza kusogea karibu hapo mlipo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataungwa nawe, na kuushika ulinzi wa hema ya kukutania, kwa ajili ya utumishi wote wa hema; na mgeni asiwakaribie ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao watajiunga nawe kazini na kutimiza wajibu wao kikamilifu kuhusu huduma zote za hema, na wala pasiwe na mtu mwingine atakayekukaribia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watajiunga nanyi na watawajibika kwa utunzaji wa Hema la Kukutania, yaani kazi zote kwenye Hema, wala hakuna mtu mwingine ye yote atakayeweza kusogea karibu hapo mlipo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watajiunga nanyi na watawajibika kwa utunzaji wa Hema la Kukutania, yaani kazi zote kwenye Hema, wala hakuna mtu mwingine yeyote atakayeweza kusogea karibu hapo mlipo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataambatana nawe, na kuhudumu katika hema ya kukutania, kwa ajili ya huduma yote ya hema; na mgeni asiwakaribie ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao watajiunga nawe kazini na kutimiza wajibu wao kikamilifu kuhusu huduma zote za hema, na wala pasiwe na mtu mwingine atakayekukaribia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti waandamane na wewe, waziangalie kazi za Hema la Mkutano ziwapasazo kuziangalia za utumishi wote wa kulitumikia Hema, lakini mgeni asiwakaribie ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataungwa nawe, na kuushika ulinzi wa hema ya kukutania, kwa ajili ya utumishi wote wa hema; na mgeni asiwakaribie ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao watajiunga nawe katika kazi na kutimiza mapaswa yao kwa ukamilifu juu ya kazi zote za hema, wala kusikuwe mutu mwingine atakayekukaribia mule.