Numbers 19:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akigusa maiti ya mtu yeyote, atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu yeyote agusaye maiti ya mtu yeyote atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu agusaye maiti ye yote atakuwa najisi muda wa siku saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akigusa maiti ya mtu yeyote, atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtu ye yote agusaye maiti ya mtu ye yote atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtu yeyote agusaye maiti ya mtu yeyote atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu amgusaye maiti yeyote atakuwa najisi muda wa siku saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akigusa maiti ya mtu yeyote, atakuwa najisi kwa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakayegusa mfu wa mtu ye yote atakuwa mwenye uchafu siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu agusaye maiti ye yote atakuwa najisi muda wa siku saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akigusa maiti ya mutu yeyote, atakuwa muchafu kwa siku saba.