Numbers 19:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila chombo kilicho wazi ambacho hakina kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nacho kila chombo kisicho na kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila chombo kilicho wazi, kisichofungwa na kifuniko, ni najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila chombo kilicho wazi ambacho hakina kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nacho kila chombo kisicho na mfuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nacho kila chombo kisicho na kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila chombo kilicho wazi, kisichofunikwa na kifuniko, ni najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila chombo kilicho wazi ambacho hakina kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho kila chombo kilicho wazi kisichofunikwa na kifuniko cha kukifungia kabisa ni chenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila chombo kilicho wazi, kisichofungwa na kifuniko, ni najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila chombo kinachokuwa wazi ambacho hakina kifuniko juu yake kitakuwa kichafu.