Numbers 19:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngombe huyo mzima atateketezwa kwa moto mbele ya kuhani. Kila kitu chake kitateketezwa; ngozi, nyama, damu na utumbo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati angali akitazama, mtamba huyo atateketezwa: ngozi yake, nyama yake, damu na sehemu zake za ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha mtu mmoja atamchoma moto huyo ng'ombe mbele yake; ngozi yake, na nyama yake, na damu yake, pamoja na mavi yake pia atachoma moto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ng'ombe huyo mzima atateketezwa kwa moto mbele ya kuhani. Kila kitu chake kitateketezwa; ngozi, nyama, damu na utumbo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati akali akitazama, mtamba huyo atateketezwa: ngozi yake, nyama yake, damu na sehemu zake za ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati angali akitazama, mtamba huyo atateketezwa: ngozi yake, nyama yake, damu na sehemu zake za ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha mtu mmoja atamchoma moto huyo ng'ombe mbele yake; ngozi yake, na nyama yake, na damu yake, pamoja na mavi yake pia atachoma moto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngombe huyo mzima atateketezwa kwa moto mbele ya kuhani. Kila kitu chake kitateketezwa; ngozi, nyama, damu na utumbo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wamteketeze machoni pake, nao sharti wateketeze ngozi yake na nyama zake na damu yake pamoja na mavi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha mtu mmoja atamchoma moto huyo ng’ombe mbele yake; ngozi yake, na nyama yake, na damu yake, pamoja na mavi yake pia atachoma moto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe huyo muzima atateketezwa kwa moto mbele ya kuhani. Kila kitu chake kitateketezwa; ngozi, nyama, damu na mavi yake.