Numbers 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu kuhani atachukua mti wa mwerezi, husopo na sufu nyekundu na kuvitia katika moto huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atachukua kuni za mti wa mwerezi, hisopo na sufu nyekundu, na kuvitupa kwenye huyo mtamba anayeungua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atatwaa mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, na kuvitupa katika huo moto unaomchoma ng'ombe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu kuhani atachukua mti wa mwerezi, husopo na sufu nyekundu na kuvitia katika moto huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atachukua kuni za mti wa mwerezi, hisopo na sufu nyekundu, na kuvitupa kwenye huyo mtamba anayeungua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atachukua kuni za mti wa mwerezi, hisopo na sufu nyekundu, na kuvitupa kwenye huyo mtamba anayeungua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atatwaa mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, na kuvitupa katika huo moto unaomchoma ng'ombe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu kuhani atachukua mti wa mwerezi, husopo na sufu nyekundu na kuvitia katika moto huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji na achukue kipande cha mwangati na kivumbasi na nyuzi nyekundu, azitupe katika huo moto unaomteketeza huyo ng'ombe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atatwaa mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, na kuvitupa katika huo moto unaomchoma ng’ombe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kuhani atatwaa muti wa mwerezi, hisopo na sufu nyekundu na kuvitia katika moto huo.