Numbers 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu aliwaambia Musa na Haruni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA aliwaambia Mose na Aroni:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana aliwaambia Musa na Haruni:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose na Haroni kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akawapa Musa na Haruni, maagizo haya: