Numbers 2:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kundi lake lina watu elfu arobaini na mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini elfu na mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi lake lina watu 40,500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kundi lake lina watu 40,500.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikosi vyake jumla yao ni watu 40500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini elfu na mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi tatu na mbili na mia mbili.