Numbers 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: Kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na karibu naye itakuwa kabila ya Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: Kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kando yake watakuwako wao wa shina la Manase, naye mkuu wa wana wa Manase ni Gamulieli, mwana wa Pedasuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na karibu naye itakuwa kabila ya Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu nyuma ya Waefuraimu litafuata kabila la Manase: kiongozi wake akiwa Gamalieli mwana wa Pedasuri,