Numbers 2:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kundi lake lina watu elfu thelathini na mbili na mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa thelathini na mbili elfu na mia mbili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi lake lina watu 32,200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kundi lake lina watu 32,200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikosi vyake jumla yao ni watu 32200.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa thelathini na mbili elfu na mia mbili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
jeshi lake kulingana na hesabu litakuwa watu elfu makumi tatu na mbili na mia mbili.