Numbers 2:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya beramu yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa kaskazini kutakuwa na beramu ya marago ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upande wa kaskazini itakuwako bendera ya makambi ya vikosi vya Dani, naye mkuu wa wana wa Dani ni Ahiezeri, mwana wa Amisadai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa kaskazini kutakuwa na beramu ya marago ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika jeshi lake wale wanaokuwa chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,