Numbers 2:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila ya Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaopiga makambi yao kando yake ni wao wa shina la Aseri, naye mkuu wa wana wa Aseri ni Pagieli, mwana wa Okrani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila ya Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wale watakaopiga kambi nyuma yao watakuwa watu wa kabila la Aseri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani,