Numbers 2:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kabila ya Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wao wa shina la Nafutali, naye mkuu wa wana wa Nafutali ni Ahira, mwana wa Enani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kabila ya Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watu wa kabila la Nafutali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,