Numbers 2:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wale watakaopiga kambi upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua watakuwa kikundi cha watu walio chini ya bendera ya Yuda na kiongozi wao atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya beramu yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa beramu ya marago ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wale watakaopiga kambi upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua watakuwa kikundi cha watu walio chini ya bendera ya Yuda na kiongozi wao atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa upande wa mashariki kuelekea maawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua: kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea mawio ya jua, ndio wale wa bendera ya kambi ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wale watakaopiga kambi upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua watakuwa kikundi cha watu walio chini ya bendera ya Yuda na kiongozi wao atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaopiga makambi upande wa mashariki wa maawioni kwa jua ndio hawa: bendera ya makambi ya vikosi vyake Yuda iwe huko kwa mkuu wa wana wa Yuda. Nasoni, mwana wa Aminadabu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa beramu ya marago ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watakaopiga kambi upande wa mashariki watakuwa kikundi cha watu wanaokuwa chini ya bendera ya Yuda na kiongozi wao atakuwa Nasoni mwana wa Aminadabu.