Numbers 2:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao ndio Waisraeli waliohesabiwa kulingana na koo zao, katika kambi na vikosi vyao; wote walikuwa 603,550.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu elfu mia sita na tatu mia tano na hamsini (603,550).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa nyumba za baba zao; wote waliohesabiwa katika marago kwa majeshi yao, walikuwa mia sita na tatu elfu na mia tano na hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao ndio Waisraeli waliohesabiwa kulingana na koo zao, katika kambi na vikosi vyao; wote walikuwa 603,550.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote wale walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa nyumba za baba zao; wote waliohesabiwa katika kambi kwa majeshi yao, walikuwa elfu mia sita na tatu na mia tano na hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao ndio Waisraeli waliohesabiwa kulingana na koo zao, katika kambi na vikosi vyao; wote walikuwa 603,550.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo jumla yao wana wa Isiraeli wa milango ya baba zao. Wote waliohesabiwa makambini kwa vikosi vyao jumla yao walikuwa watu 603550.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa nyumba za baba zao; wote waliohesabiwa katika marago kwa majeshi yao, walikuwa mia sita na tatu elfu na mia tano na hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao ndio Waisraeli waliohesabiwa kulingana na ukoo zao, katika kambi na majeshi yao, wote walikuwa elfu mia sita na tatu na mia tano makumi tano.