Numbers 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kundi lake lina watu elfu sabini na nne na mia sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa sabini na nne elfu na mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74,600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi lake lina watu 74,600.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kundi lake lina watu 74,600.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sabini na nne na mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vikosi vyake jumla yao ni watu 74600.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa sabini na nne elfu na mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi saba na ine na mia sita.