Numbers 20:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya yalikuwa maji ya Meriba, ambapo Waisraeli waligombana na Mwenyezi Mungu, naye akajionesha kuwa mtakatifu kati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na Bwana, naye alijionyesha kuwa mtakatifu kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnung'unikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya yalikuwa maji ya Meriba, mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na BWANA, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya yalikuwa maji ya Meriba, mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na BWANA, naye alijionesha kuwa mtakatifu kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji yale yakaitwa Meriba (Magomvi), kwa kuwa wana wa Isiraeli waligombana na Bwana, naye akajitokeza kwao kuwa mtakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na BWANA, naye alijionyesha kuwa mtakatifu kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo ni maji ya Meriba, ni kusema ya “Magombano”, pahali ambapo Waisraeli walimugombanisha Yawe, naye akajionyesha kwa utakatifu kati yao.