Numbers 20:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jinsi babu zetu walivyokwenda Misri, ambako tuliishi kwa muda mrefu na jinsi Wamisri walivyowatesa babu zetu, wakatutesa na sisi pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba zetu walishuka Misri, nasi tumeishi huko miaka mingi. Wamisri walitutesa sisi na baba zetu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jinsi baba zetu walivyotelemkia Misri, nasi tulikaa Misri muda mwingi, nao Wamisri walitutenda vibaya sana, na baba zetu pia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jinsi babu zetu walivyokwenda Misri, ambako tuliishi kwa muda mrefu na jinsi Wamisri walivyowatesa babu zetu, wakatutesa na sisi pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba zetu walishuka Misri, nasi tumeishi huko miaka mingi. Wamisri walitutesa sisi na baba zetu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba zetu walishuka Misri, nasi tumeishi huko miaka mingi. Wamisri walitutesa sisi na baba zetu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jinsi baba zetu walivyoteremkia Misri, nasi tulikaa Misri muda mrefu, nao Wamisri walitutenda vibaya sana, na baba zetu pia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jinsi babu zetu walivyokwenda Misri, ambako tuliishi kwa muda mrefu na jinsi Wamisri walivyowatesa babu zetu, wakatutesa na sisi pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
baba zetu walishuka Misri, wakakaa huko siku nyingi, nao Wamisri wakatufanyizia mabaya sisi na baba zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jinsi baba zetu walivyotelemkia Misri, nasi tulikaa Misri muda mwingi, nao Wamisri walitutenda vibaya sana, na baba zetu pia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jinsi babu zetu walivyokwenda Misri, ambako tuliishi kwa muda murefu na jinsi Wamisri walivyowatesa babu zetu, wakatutesa na sisi vilevile.