Numbers 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tulimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akakisikia kilio chetu, akatuletea malaika aliyetuondoa Misri. Sasa tuko hapa Kadeshi, mji unaopakana na nchi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini tulipomlilia Mwenyezi Mungu, alisikia kilio chetu na akamtuma malaika akatutoa Misri. “Sasa tupo hapa Kadeshi, mji ulio mpakani mwa nchi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena tulipomlilia Bwana, akatusikiza sauti yetu, akamtuma malaika, na kututoa tutoke Misri; nasi tupo hapa Kadeshi, mji wa mpakani mwako mwa mwisho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tulimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akakisikia kilio chetu, akatuletea malaika aliyetuondoa Misri. Sasa tuko hapa Kadeshi, mji unaopakana na nchi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini tulipomlilia BWANA, alisikia kilio chetu na akamtuma malaika akatutoa Misri. “Sasa tupo hapa Kadeshi, mji ulio mpakani mwa nchi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini tulipomlilia bwana, alisikia kilio chetu na akamtuma malaika akatutoa Misri. “Sasa tupo hapa Kadeshi, mji ulio mpakani mwa nchi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena tulipomlilia BWANA, akatusikiza sauti yetu, akamtuma malaika, na kututoa Misri; nasi tupo hapa Kadeshi, mji wa mpakani mwa nchi yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tulimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akakisikia kilio chetu, akatuletea malaika aliyetuondoa Misri. Sasa tuko hapa Kadeshi, mji unaopakana na nchi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tulipomlilia Bwana, akatusikia, akatuma malaika, akatutoa Misri. Tazama, sisi tumo humo Kadesi, ndio mji wa mpakani kwenye nchi yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena tulipomlilia BWANA, akatusikiza sauti yetu, akamtuma malaika, na kututoa tutoke Misri; nasi tupo hapa Kadeshi, mji wa mpakani mwako mwa mwisho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukamulilia Yawe, naye akasikia kilio chetu, akatuletea malaika aliyetuondoa Misri. Sasa tuko hapa Kadesi, muji unaopakana na inchi yako.