Numbers 20:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! Hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mfalme wa Edomu akajibu: “Hamtapita hapa. Mkijaribu kupita, tutatoka na kuwashambulia kwa upanga.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Edomu akamwambia, Hutapita katika nchi yangu, nisije nikakutokea kupigana nawe kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mfalme wa Edomu akajibu: “Hamtapita hapa; kama mkijaribu kupita, tutatoka na kuwashambulia kwa upanga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mfalme wa Edomu akajibu: “Hamtapita hapa; kama mkijaribu kupita, tutatoka na kuwashambulia kwa upanga.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Edomu akamwambia, Hutapita katika nchi yangu, nisije nikakutokea kupigana nawe kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! Hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mwedomu akamwambia: Hutapita kwangu. Ila nitatoka mwenye upanga, nipigane na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Edomu akamwambia, Hutapita katika nchi yangu, nisije nikakutokea kupigana nawe kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Edomu akamujibu: Hapana! Hautapita katika inchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.