Numbers 20:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waedomu wakakataa kuwapa ruhusa Waisraeli kupita katika mipaka yao. Waisraeli wakageuka na kushika njia nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Waedomu waliwakatalia Waisraeli kupita katika nchi yao, Israeli wakageuka, wakawaacha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hivyo Edomu akakataa kumpa Israeli ruhusa kupita katika mipaka yake; kwa hivyo Israeli akageuka na kumwacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waedomu wakakataa kuwapa ruhusa Waisraeli kupita katika mipaka yao. Waisraeli wakageuka na kushika njia nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Waedomu waliwakatalia Waisraeli kupita katika nchi yao, Israeli wakageuka, wakawaacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Waedomu waliwakatalia Waisraeli kupita katika nchi yao, Israeli wakageuka, wakawaacha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hivyo Edomu akakataa kumpa Israeli ruhusa kupita katika mipaka yake; kwa hiyo Israeli akageuka na kumwacha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waedomu wakakataa kuwapa ruhusa Waisraeli kupita katika mipaka yao. Waisraeli wakageuka na kushika njia nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Waedomu walivyowakataza Waisiraeli kupita mipakani kwao; ndipo, Waisiraeli walipogeuka, washike njia ya kupitia kando yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hivyo Edomu akakataa kumpa Israeli ruhusa kupita katika mipaka yake; kwa hivyo Israeli akageuka na kumwacha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waedomu wakakataa kuwapa Waisraeli ruhusa kwa kupita katika mipaka yao. Waisraeli wakageuka na kushika njia ingine.