Numbers 20:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumuiya yote ya Waisraeli wakaondoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakasafiri kutoka Kadeshi; wana wa Israeli, mkutano mzima, wakafikilia mlima wa Hori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakasafiri kutoka Kadeshi; wana wa Israeli, mkutano mzima, wakafikia mlima wa Hori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakaondoka Kadesi, wakafika mkutano wao wote kwenye mlima wa Hori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakasafiri kutoka Kadeshi; wana wa Israeli, mkutano mzima, wakafikilia mlima wa Hori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wote wakasafiri kutoka Kadesi, wakafika kwenye mulima Hori.