Numbers 20:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanena na Musa na Haruni katika mlima wa Hori, karibu na mpaka wa nchi ya Edomu, akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, BWANA akamwambia Mose na Aroni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, bwana akamwambia Musa na Haruni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akanena na Musa na Haruni katika mlima wa Hori, karibu na mpaka wa nchi ya Edomu, akawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko kwenye mlima wa Hori kwenye mipaka ya nchi ya Edomu Bwana akamwambia Mose na Haroni kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanena na Musa na Haruni katika mlima wa Hori, karibu na mpaka wa nchi ya Edomu, akawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akamwambia Musa na Haruni huko kwenye mulima Hori, kwenye mpaka wa inchi ya Edomu: