Numbers 20:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Aroni atakufa; hataingia katika nchi ambayo nimewapa watu wa Israeli kwa sababu nyinyi wawili mliiasi amri yangu kule Meriba
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haruni atakusanywa pamoja na watu wake. Hataingia katika nchi ninayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi dhidi ya agizo langu kwenye maji ya Meriba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni atakusanywa awe pamoja na watu wake; kwa kuwa hataingia katika nchi niliyowapa wana wa Israeli, kwa sababu mliasi kinyume cha neno langu hapo penye maji ya Meriba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Aroni atakufa; hataingia katika nchi ambayo nimewapa watu wa Israeli kwa sababu nyinyi wawili mliiasi amri yangu kule Meriba
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Aroni atakusanywa pamoja na watu wake. Hataingia katika nchi ninayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi dhidi ya agizo langu kwenye maji ya Meriba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Haruni atakusanywa pamoja na watu wake. Hataingia katika nchi ninayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi dhidi ya agizo langu kwenye maji ya Meriba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni atakusanywa awe pamoja na watu wake; kwa kuwa hataingia katika nchi niliyowapa wana wa Israeli, kwa sababu mliasi kinyume cha neno langu hapo penye maji ya Meriba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Aroni atakufa; hataingia katika nchi ambayo nimewapa watu wa Israeli kwa sababu nyinyi wawili mliiasi amri yangu kule Meriba
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Haroni atachukuliwa, awe pamoja nao walio wa ukoo wake, kwani hataingia katika nchi ile, nitakayowapa wana wa Isiraeli, kwa kuwa mlikibishia kinywa changu kwenye Maji ya Magomvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni atakusanywa awe pamoja na watu wake; kwa kuwa hataingia katika nchi niliyowapa wana wa Israeli, kwa sababu mliasi kinyume cha neno langu hapo penye maji ya Meriba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni atakufa; hataingia katika inchi ambayo nimewapa Waisraeli kwa sababu ninyi wawili muliasi amri yangu kule Meriba.