Numbers 20:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchukue Aroni na Eleazari mwanawe, uwalete juu ya Mlima Hori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watwae Haruni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima Hori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwatwae Haruni na mwanawe Eleazari uwalete juu ya mlima wa Hori;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchukue Aroni na Eleazari mwanawe, uwalete juu ya Mlima Hori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watwae Aroni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watwae Haruni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwatwae Haruni na mwanawe Eleazari uwalete juu ya mlima wa Hori;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchukue Aroni na Eleazari mwanawe, uwalete juu ya Mlima Hori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukue Haroni pamoja na mwanawe Elazari, uwapeleke mlimani kwa Hori juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwatwae Haruni na mwanawe Eleazari uwalete juu ya mlima wa Hori;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umutwae Haruni na mwana wake Eleazari, uwalete juu ya mulima Hori.