Numbers 20:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, mvue Aroni mavazi yake rasmi, umvalishe mwanawe Eleazari. Aroni atakufa akiwa huko mlimani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mvue Haruni mavazi yake, na umvike Eleazari mwanawe, kwa maana Haruni atakusanywa pamoja na watu wake; atakufa huko.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
umvue Haruni mavazi yake, ukamvike Eleazari mwanawe mavazi hayo; kisha Haruni atakusanywa kwa watu wake, naye atakufa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, mvue Aroni mavazi yake rasmi, umvalishe mwanawe Eleazari. Aroni atakufa akiwa huko mlimani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvue Aroni mavazi yake, na umvike Eleazari mwanawe, kwa maana Aroni atakusanywa pamoja na watu wake; atakufa huko.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mvue Haruni mavazi yake, na umvike Eleazari mwanawe, kwa maana Haruni atakusanywa pamoja na watu wake; atakufa huko.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
umvue Haruni mavazi yake, ukamvike Eleazari mwanawe mavazi hayo; kisha Haruni atakusanywa kwa watu wake, naye atakufa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, mvue Aroni mavazi yake rasmi, umvalishe mwanawe Eleazari. Aroni atakufa akiwa huko mlimani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko umvue Haroni mavazi yake, umvike mwanawe Elazari! Kisha Haroni atachukuliwa, afe huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
umvue Haruni mavazi yake, ukamvike Eleazari mwanawe mavazi hayo; kisha Haruni atakusanywa kwa watu wake, naye atakufa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, umuvue Haruni nguo yake, umuvalishe mwana wake Eleazari. Haruni atakufa akiwa huko kwenye mulima.