Numbers 20:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akafanya kama Bwana alivyomwagiza; wakakwea katika mlima wa Hori mbele ya macho ya mkutano wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafanya kama BWANA alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Kiisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafanya kama bwana alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Kiisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akafanya kama BWANA alivyomwagiza; wakakwea katika mlima wa Hori mbele ya macho ya mkutano wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akafanya, kama Bwana alivyomwagiza, wakaupanda mlima wa Hori machoni pao wote walio wa mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akafanya kama BWANA alivyomwagiza; wakakwea katika mlima wa Hori mbele ya macho ya mkutano wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akafanya kama vile alivyoamriwa na Yawe. Wote watatu wakapanda juu ya mulima mbele ya watu wote wengine.