Numbers 20:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumuiya yote walipofahamu kwamba Haruni amekufa, Waisraeli wote wakamwomboleza kwa siku thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumuiya yote ilipofahamu kwamba Aroni amekufa, jamaa yote ya Kiisraeli wakamwambolezea kwa siku thelathini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumuiya yote ilipofahamu kwamba Haruni amekufa, jamaa yote ya Kiisraeli wakamwomboleza kwa siku thelathini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolezea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolezea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wa mkutano walipoona, ya kuwa Haroni amekwisha kufa, wakamwombolezea Haroni siku thelathini wao wote wa mlango wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipoona kwamba Haruni amekufa, wakafanya kilio cha siku makumi tatu.