Numbers 20:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakagombana na Musa, na kusema, “Laiti tungekufa ndugu zetu walipokufa mbele za Mwenyezi Mungu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakashindana na Musa, wakanena, wakisema, Ingalikuwa heri kama tungalikufa wakati ule ndugu zetu walipokufa mbele za Bwana!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakagombana na Mose, na kusema, “Laiti tungelikufa wakati ndugu zetu walipoanguka na kufa mbele za BWANA!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakagombana na Musa, na kusema, “Laiti tungelikufa wakati ndugu zetu walipoanguka na kufa mbele za bwana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakashindana na Musa, wakanena, wakisema, Ingekuwa heri kama tungekufa wakati ule ndugu zetu walipokufa mbele za BWANA!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamgombeza Mose wakimwambia kwamba: Afadhali tungalizimia roho pamoja na ndugu zetu waliozimia roho mbele ya Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakashindana na Musa, wakanena, wakisema, Ingalikuwa heri kama tungalikufa wakati ule ndugu zetu walipokufa mbele za BWANA!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakagombanisha Musa wakisema: Afazali tungekufa pamoja na wandugu zetu mbele ya hema la Yawe!