Numbers 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mmewaleta jumuiya ya Mwenyezi Mungu kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona mmewaleta kusanyiko la Bwana hata jangwa hili ili tufe huku, sisi na wanyama wetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mmeileta jumuiya ya BWANA kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mmeileta jumuiya ya bwana kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona mmewaleta kusanyiko la BWANA hadi jangwa hili ili tufe huku, sisi na wanyama wetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nini mmelileta kundi lake Bwana katika nyika hii, tujifie pamoja na nyama wetu wa kufuga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona mmewaleta kusanyiko la BWANA hata jangwa hili ili tufe huku, sisi na wanyama wetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini mulituleta sisi watu wa Yawe huku katika jangwa? Mulituleta kusudi tukufe pamoja na mifugo yetu?