Numbers 20:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, kwa nini mlitutoa Misri na kutuleta mahali hapa pabaya hivi? Hapa si mahali pa nafaka, tini, zabibu wala makomamanga. Hata maji ya kunywa hakuna!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mmetupandisha kutoka Misri hadi mahali hapa pa kutisha? Hapa hakuna nafaka wala tini, zabibu au makomamanga. Wala hapa hakuna maji ya kunywa!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbona mmetupandisha kutoka Misri ili kutuleta hata mahali hapa pabaya? Si mahali pa mbegu, wala tini, wala mizabibu, wala makomamanga; wala hapana maji ya kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, kwa nini mlitutoa Misri na kutuleta mahali hapa pabaya hivi? Hapa si mahali pa nafaka, tini, zabibu wala makomamanga. Hata maji ya kunywa hakuna!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mmetupandisha kutoka Misri mpaka mahali hapa pa kutisha? Hapa hakuna nafaka wala tini, zabibu au makomamanga. Wala hapa hakuna maji ya kunywa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mmetupandisha kutoka Misri mpaka mahali hapa pa kutisha? Hapa hakuna nafaka wala tini, zabibu au makomamanga. Wala hapa hakuna maji ya kunywa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbona mmetupandisha kutoka Misri ili kutuleta hata mahali hapa pabaya? Si mahali pa mbegu, wala tini, wala mizabibu, wala makomamanga; wala hapana maji ya kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, kwa nini mlitutoa Misri na kutuleta mahali hapa pabaya hivi? Hapa si mahali pa nafaka, tini, zabibu wala makomamanga. Hata maji ya kunywa hakuna!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nini mlitutoa Misri, mkatuleta mahali hapa pabaya? Huku hatuwezi kupanda mbegu, tena hakuna mikuyu wala mizabibu wala mikomamanga, wala maji tu ya kunywa hayako huku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbona mmetupandisha kutoka Misri ili kutuleta hata mahali hapa pabaya? Si mahali pa mbegu, wala tini, wala mizabibu, wala makomamanga; wala hapana maji ya kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini mulitutoa Misri na kutuleta pahali hapa pabaya hivi? Hapa si pahali pa ngano, tini, zabibu wala makomamanga. Hata maji ya kunywa hakuna!