Numbers 20:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za Mwenyezi Mungu kama alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za Bwana kama alivyomwamuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za BWANA kama alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za bwana kama alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za BWANA kama alivyomwamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akaichukua fimbo iliyokuwa mbele ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za BWANA kama alivyomwamuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akaenda kuitwaa ile fimbo mbele ya Yawe kama vile alivyoamriwa.