Numbers 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapanga marago Obothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapiga kambi Obothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli waliendelea na safari yao, wakapiga kambi huko Obothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Oboti wakapiga makambi Iye-Abarimu katika nyika inayoelekea Moabu upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapanga marago Obothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakaendelea na safari yao, wakapiga kambi kule Oboti.