Numbers 21:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, imeandikwa katika kitabu cha vita vya Mwenyezi-Mungu: “Mji wa Wahebu nchini Sufa, na mabonde ya Arnoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Mwenyezi Mungu kinasema: “Wahebu nchini Sufa, na mabonde, Mto Arnoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo imesemwa katika chuo cha Vita vya Bwana, Wahebu katika Sufa, Na bonde za Arnoni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, imeandikwa katika kitabu cha vita vya Mwenyezi-Mungu: “Mji wa Wahebu nchini Sufa, na mabonde ya Arnoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya BWANA kinasema: “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde ya Arnoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya bwana kinasema: “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde ya Arnoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo imesemwa katika Kitabu cha Vita vya BWANA, Wahebu katika Sufa, Na bonde za Arnoni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, imeandikwa katika kitabu cha vita vya Mwenyezi-Mungu: “Mji wa Wahebu nchini Sufa, na mabonde ya Arnoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo inasemwa katika kitabu cha vita vya Bwana:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo imesemwa katika chuo cha Vita vya BWANA, Wahebu katika Sufa, Na bonde za Arnoni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo, imeandikwa katika kitabu cha vita za Yawe: “Muji wa Wahebu katika inchi ya Sufa, na mabonde ya Arnoni,