Numbers 21:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na miteremko ya mabonde inayofika hadi makazi ya Ari, na kuegemea mpakani mwa Moabu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matelemko ya hizo bonde Kwenye kutelemkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mitelemko ya mabonde inayofika hadi mji wa Ari na huelekea mpakani mwa Moabu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na miteremko ya mabonde inayofika hadi mji wa Ari na huelekea mpakani mwa Moabu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na materemko ya hizo bonde Kwenye kuteremkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bonde la Sufa na vijito vya Arnoni, napo vijito vinaposhukia, panapopafikia napo mahali penye mji wa Ari ndipo panapouegemea mpaka wa Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matelemko ya hizo bonde Kwenye kutelemkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na muteremuko wa mabonde unaofika mpaka muji wa Ari, na kuelekea kwenye mupaka wa Moabu.”