Numbers 21:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Mwenyezi Mungu alimwambia Musa, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka huko wakasafiri kwenda Beeri; ni kisima ambacho Bwana alimwambia Musa, Uwakutanishe watu, nami nitawapa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho BWANA alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja nami nitawapa maji.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho bwana alimwambia Musa, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutoka huko wakasafiri kwenda Beeri; ni kisima ambacho BWANA alimwambia Musa, Uwakutanishe watu, nami nitawapa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka hapo wkafika Kisimani; ndiko kwenye kile kisima, Bwana alikomwambia Mose kwamba: Wakusanye watu, niwape maji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka huko wakasafiri kwenda Beeri; ni kisima ambacho BWANA alimwambia Musa, Uwakutanishe watu, nami nitawapa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka huko Waisraeli wakasafiri mpaka Beri; ni kusema kisima ambapo Yawe alimwambia Musa: Uwakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.