Numbers 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! — Kiimbieni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! — Kiimbieni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, Ee kisima! Imba kuhusu maji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! – Kiimbieni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
siku zile Waisiraeli waliuimba wimbo huu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Waisraeli wakaimba wimbo huu: Bubujika maji, ee kisima! Muimbe!