Numbers 21:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisima kilichochimbwa na wakuu kilichochimbwa sana na wenye cheo, kwa fimbo zao za enzi na bakora.” Kutoka jangwani walisafiri mpaka Matana,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisima kilichochimbwa na wakuu kilichochimbwa sana na wenye cheo, kwa fimbo zao za enzi na bakora.” Kutoka jangwani walisafiri mpaka Matana,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisima kilichochimbwa na wakuu kilichochimbwa sana na wenye cheo, kwa fimbo zao za enzi na bakora.” Kutoka jangwani walisafiri mpaka Matana,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bubujika, kisima! Haya! Kiimbieni! Waliokichimba kisima hiki ndio wakuu; kweli majumbe wa watu ndio waliokifukua. kwa kutumia bakora na fimbo zao za kifalme. Toka huko nyikani wakaenda Matana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisima kilichochimbwa na wakubwa kilichochimbwa sana na wenye cheo, kwa fimbo zao za utukufu na bakora. Kutoka katika jangwa wakasafiri mpaka Matana,