Numbers 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali kilele cha Pisga kinatazamana na nyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
toka Bamoti wakaenda bondeni kwenye mbuga za Moabu zilizoko kwenye mlima na Pisiga uelekeao jangwani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kutoka Bamoti mpaka kwenye bonde linaloingia katika inchi ya Moabu, kwenye kilele cha mulima Pisiga, kinachoelekea chini katika jangwa.