Numbers 21:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Moto uliwaka kutoka Heshboni, mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. Uliteketeza Ari ya Moabu, raia wa mahali pa Arnoni palipoinuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, moto umetoka Heshboni, Umekuwa Ari ya Moabu, Mwali wa moto umetoka mji wa Sihoni; Wakuu wa mahali palipoinuka Arnoni
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Moto uliwaka kutoka Heshboni, mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. Uliteketeza Ari ya Moabu, raia wa mahali pa Arnoni palipoinuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Moto uliwaka kutoka Heshboni, mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. Uliteketeza Ari ya Moabu, raiya wa mahali pa Arnoni palipoinuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, moto umetoka Heshboni, Umekuwa Ari ya Moabu, Mwali wa moto umetoka mji wa Sihoni; Wakuu wa mahali palipoinuka Arnoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana moto ulitoka Heshboni, miali ya moto ilitoka mjini kwa Sihoni, uliuteketeza mji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya mto Arnoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani moto umetoka Hesiboni, miali ya moto imetoka mjini mwa Sihoni, ikaula mji wa Ari wa Moabu nao wenyeji wa vilimani kwa Arnoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, moto umetoka Heshboni, Umekuwa Ari ya Moabu, Mwali wa moto umetoka mji wa Sihoni; Wakuu wa mahali palipoinuka Arnoni
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana moto ulitoka Hesiboni, miali ya moto ilitoka katika muji kwa Sihoni, ukauteketeza muji wa Ari wa Moabu, ukaiangamiza milima ya muto Arnoni.