Numbers 21:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wenu watu wa Moabu! Mmeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemoshi! Umewafanya watoto wenu wa kiume kuwa wakimbizi, binti zako umewaacha wachukuliwe mateka mpaka kwa Sihoni, mfalme wa Amori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wako, ee Moabu! Umeharibiwa, enyi watu wa Kemoshi! Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, na binti zake kama mateka kwa Mfalme Sihoni wa Waamori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wako Moabu! Umeangamia, enyi watu wa Kemoshi; Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, Na binti zake waende utumwani, Wamwendee Sihoni mfalme wa Waamori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wenu watu wa Moabu! Mmeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemoshi! Umewafanya watoto wenu wa kiume kuwa wakimbizi, binti zako umewaacha wachukuliwe mateka mpaka kwa Sihoni, mfalme wa Amori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wako, Ee Moabu! Umeharibiwa, Enyi watu wa Kemoshi! Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, na binti zake kama mateka kwa Mfalme Sihoni wa Waamori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wako, ee Moabu! Umeharibiwa, enyi watu wa Kemoshi! Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, na binti zake kama mateka kwa Mfalme Sihoni wa Waamori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wako Moabu! Umeangamia, enyi watu wa Kemoshi; Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, Na binti zake waende utumwani, Wamwendee Sihoni mfalme wa Waamori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wenu watu wa Moabu! Mmeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemoshi! Umewafanya watoto wenu wa kiume kuwa wakimbizi, binti zako umewaacha wachukuliwe mateka mpaka kwa Sihoni, mfalme wa Amori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umepatwa na mambo, wewe Moabu! Mmeangamia ninyi, watu wa Kemosi! Wamewakimbiza wana wenu wa kiume, nao wana wenu wa kike wamempa Sihoni, mfalme wa Waamori!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wako Moabu! Umeangamia, enyi watu wa Kemoshi; Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, Na binti zake waende utumwani, Wamwendee Sihoni mfalme wa Waamori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wenu watu wa Moabu! Mumeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemosi! Umewafanya watoto wenu wanaume kuwa wakimbizi, wabinti zako umewaacha watwaliwe mateka mpaka kwa Sihoni, mufalme wa Amori.