Numbers 21:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiliayo Medeba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiayo Medeba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tulipowapiga mishale, ndipo, Hesiboni ulipoangamia mpaka Diboni, tukaiharibu nchi mpaka Nofa, tukafika hata Medeba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiliayo Medeba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa wazao wao wameangamizwa, kutoka Hesiboni mpaka Diboni, kutoka Nasimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.