Numbers 21:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waisraeli wakamuua Ogu, wanawe na watu wake wote, bila kumwacha hata mtu mmoja, kisha wakaitwaa nchi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakamuua, pamoja na wanawe na jeshi lake lote, bila ya kumwacha hata mtu mmoja hai. Nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakampiga, na wanawe, na watu wake wote, hata wasisaze kwake mtu ye yote; nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waisraeli wakamuua Ogu, wanawe na watu wake wote, bila kumwacha hata mtu mmoja, kisha wakaitwaa nchi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakamwua, pamoja na wanawe na jeshi lake lote, bila ya kumwacha hata mtu mmoja hai. Nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakamuua, pamoja na wanawe na jeshi lake lote, bila ya kumwacha hata mtu mmoja hai. Nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakampiga, na wanawe, na watu wake wote, hata wasibakize kwake mtu yeyote; nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waisraeli wakamuua Ogu, wanawe na watu wake wote, bila kumwacha hata mtu mmoja, kisha wakaitwaa nchi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, walipompiga yeye na wanawe na watu wake wote, wasisaze kwake hata mmoja aliyeweza kukimbia, kisha wakaitwaa nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakampiga, na wanawe, na watu wake wote, hata wasisaze kwake mtu ye yote; nao wakaimiliki nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli wakamwua Ogi, wana wake na watu wake wote, bila kumwacha hata mutu mumoja, kisha wakatwaa inchi yake.