Numbers 21:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mwenyezi Mungu akapeleka nyoka wenye sumu kati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akatuma nyoka za moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo BWANA akapeleka nyoka wenye sumu katikati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bwana akapeleka nyoka wenye sumu katikati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akatuma nyoka wa moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipotuma nyoka za moto kuwajia hao watu; nao walipowauma watu, wakafa watu wengi kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akatuma nyoka za moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Yawe akatuma nyoka wenye sumu kati ya watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakakufa.