Numbers 22:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo maofisa wa Moabu wakaondoka, wakarudi kwa Balaki, wakamwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakarudi kwa Balaki na kumwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wakaondoka wakaenda kwa Balaki, wakasema, Balaamu, anakataa kuja pamoja nasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo maofisa wa Moabu wakaondoka, wakarudi kwa Balaki, wakamwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakuu wa Maobu wakarudi kwa Balaki na kumwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakarudi kwa Balaki na kumwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wakaondoka wakaenda kwa Balaki, wakasema, Balaamu, anakataa kuja pamoja nasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo maofisa wa Moabu wakaondoka, wakarudi kwa Balaki, wakamwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wakuu wa Wamoabu walipoondoka; walipofika kwa Balaka wakamwambia: Bileamu amekataa kwenda na sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wakaondoka wakaenda kwa Balaki, wakasema, Balaamu, anakataa kuja pamoja nasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wazee wa Moabu wakaondoka, wakarudi kwa Balaki, wakamwambia: Balamu amekataa kuja pamoja nasi.