Numbers 22:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao walifika kwa Balaamu, wakamwambia, “Balaki mwana wa Sipori asema hivi: ‘Usikubali kuzuiwa na chochote hata uache kuja kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafika kwa Balaamu na kumwambia: “Balaki mwana wa Sipori amesema hivi: Usiruhusu kitu chochote kikuzuie kuja kwangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamfikilia Balaamu, wakamwambia, Balaki mwana wa Sipori asema hivi, Nakusihi, neno lo lote lisikuzuie usinijie;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao walifika kwa Balaamu, wakamwambia, “Balaki mwana wa Sipori asema hivi: ‘Usikubali kuzuiwa na chochote hata uache kuja kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafika kwa Balaamu na kumwambia: “Balaki mwana wa Sipori amesema hivi: Usiruhusu kitu cho chote kikuzuie kuja kwangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafika kwa Balaamu na kumwambia: “Balaki mwana wa Sipori amesema hivi: Usiruhusu kitu chochote kikuzuie kuja kwangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamfikia Balaamu, wakamwambia, Balaki mwana wa Sipori asema hivi, Nakusihi, neno lolote lisikuzuie usinijie;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao walifika kwa Balaamu, wakamwambia, “Balaki mwana wa Sipori asema hivi: ‘Usikubali kuzuiwa na chochote hata uache kuja kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika kwa Bileamu wakamwambia: Hivi ndivyo, anavyosema Balaka, mwana wa Sipori: Usikatae kuja kwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamfikilia Balaamu, wakamwambia, Balaki mwana wa Sipori asema hivi, Nakusihi, neno lo lote lisikuzuie usinijie;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wakafika kwa Balamu, wakamwambia: Balaki mwana wa Sipori anasema hivi: Usikubali kuzuiwa na chochote hata uache kuja kwangu.